Saturday, August 31, 2013
TETESI,,,MWANAHAKATI WA CCM BW MOHAMED RIAMI (EDDY RIAMI) ATANGAZA KUJITOA RASIMI CCM
Mwanaharakati Maarufu Bw Mohamed Riami (Eddy Riami) ametangaza kujiondoa katika Chama Cha Mapinduzi.
Akizungumza katika Kongamano lililotayarishwa na Kamati ya Maridhiano, hii ilikuwa strong speech iliyowahi kutolewa na Bw Eddy Riami amesema yeye sio mwanasiasa, akiwafananisha na Jusa na Mzee Moyo. Bali yeye ni raia kama walivyo raia wengine.
Amewataka Wazanzibar kujitolea kutafuta heshma zao na nchi yao.
Alisema kwamba ni wao ndio waliompigia kura Rais kwani Rais mwenyewe hakupiga kura katika uchaguzi uliopita. Hivyo anajuwa vipi Zanzibar itashinda kabla ya mwaka 2015. Alikuwa akikariri moja ya hotuba ya Mzee Karume alpokuwa anakadiria kuwa Zanzibar haihitaji uchaguzi
hadi baada ya miaka 50.
Ametaka suala la siasa litolewa katika katiba mpya. Vilevile amewataka viongozi wengine kuachana na siasa badala yake kupigania Zanzibar nje ya siasa. Kwani ni siasa ndio iliyoifikisha hapa Zanzibar.
Akizungumza katika Kongamano lililotayarishwa na Kamati ya Maridhiano, hii ilikuwa strong speech iliyowahi kutolewa na Bw Eddy Riami amesema yeye sio mwanasiasa, akiwafananisha na Jusa na Mzee Moyo. Bali yeye ni raia kama walivyo raia wengine.
Amewataka Wazanzibar kujitolea kutafuta heshma zao na nchi yao.
Alisema kwamba ni wao ndio waliompigia kura Rais kwani Rais mwenyewe hakupiga kura katika uchaguzi uliopita. Hivyo anajuwa vipi Zanzibar itashinda kabla ya mwaka 2015. Alikuwa akikariri moja ya hotuba ya Mzee Karume alpokuwa anakadiria kuwa Zanzibar haihitaji uchaguzi
hadi baada ya miaka 50.
Ametaka suala la siasa litolewa katika katiba mpya. Vilevile amewataka viongozi wengine kuachana na siasa badala yake kupigania Zanzibar nje ya siasa. Kwani ni siasa ndio iliyoifikisha hapa Zanzibar.
JAY JAY OKOCHA,,NGULI WA SOKA ALIYEMAUA KUANZA KUFANYA FILAMU..
Majek Fashek, Jay Jay Okocha |
Augustine Jay Jay Okocha, Mwanasoka kutoka Nigera ambaye amejipatia umaarufu mkubwa duniani kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kucheza soka kitaifa na kimataifa, aameamua kubadilisha fani baada ya kuwa katika soka kwa miaka mingi sasa. |
WABUNGE WATAKA MBIO ZA MWENGE ZIFUTWE,
MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge
baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe bungeni.
Hata hivyo, suala hilo liligeuka shubiri kwa Waziri wa Nchi, Ofisa ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, kuzomewa na kurushiwa maneno ya kejeli alipojaribu kuzitetea mbio hizo.
Chanzo cha mzozo huo kilitokana na maswali ya mbunge wa Musoma Mjini, Vicent Nyerere (CHADEMA), aliyeihoji serikali kama kuna uwezekano wa kutoukimbiza Mwenge katika maeneo ya watu wasiouhitaji.
Hata hivyo, suala hilo liligeuka shubiri kwa Waziri wa Nchi, Ofisa ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, kuzomewa na kurushiwa maneno ya kejeli alipojaribu kuzitetea mbio hizo.
Chanzo cha mzozo huo kilitokana na maswali ya mbunge wa Musoma Mjini, Vicent Nyerere (CHADEMA), aliyeihoji serikali kama kuna uwezekano wa kutoukimbiza Mwenge katika maeneo ya watu wasiouhitaji.
DIAMOND NA LINAH LIVEEE!!!!
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa na msanii
mwenzake, Esterlina Sanga ‘Linah’ wakiwa kwenye mapozi ya kimahaba ambayo
yametafsiriwa vibaya.
Katika tukio hilo lililojiri juzikati kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ndani ya Tamasha la Serengeti Fiesta, Diamond alishuhudiwa akiwa amempakata Linah ndani ya basi huku mikono ya jamaa huyo ikishika maeneo nyeti.
Katika tukio hilo lililojiri juzikati kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ndani ya Tamasha la Serengeti Fiesta, Diamond alishuhudiwa akiwa amempakata Linah ndani ya basi huku mikono ya jamaa huyo ikishika maeneo nyeti.
Thursday, August 29, 2013
MAKINDA APIGIWA DEBE KUGOMBEA URAISI 2015
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, asiyekuwa na wizara maalumu,
Profesa Mark Mwandosya, amempigia debe Spika wa Bunge, Anne Makinda, akisema
kuwa anafaa kuwa rais kutokana na sifa zake.
Profesa Mwandosya alimwaga sifa hizo bungeni jana, wakati akiunga mkono Azimio la Bunge la kumpongeza Makinda, kutokana na kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA).
Profesa Mwandosya alimwaga sifa hizo bungeni jana, wakati akiunga mkono Azimio la Bunge la kumpongeza Makinda, kutokana na kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola (CPA).
MEJA JENERALI WA JESHI LA TANZANIA (JWTZ) AUAWA NA MAJESHII YA M23 HUKO KONGO.
KINSHASA, Congo (AP) — United Nations forces and the Congolese army
attacked rebel positions with helicopter gunships, armored personnel carriers
and a phalanx of ground troops Wednesday, ramping up the U.N.'s engagement in
the latest rebellion to roil this country's tormented east.
MAJAMBAZI WALOVALIA SARE ZA POLISI WAPORA BENKI YA HABIB ILIYOPO KARIAKOO.
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao wamevalia sare za
Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi
kikubwa cha Fedha.
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo..
Habari zaidi baadae.
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo..
Habari zaidi baadae.
MWIGULU NCHEMBA ATAKA MBOWE NA DR.SLAA WAKAMATWE KWA MAUAJI YA RAIA.
MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amechafua
hali ya hewa bungeni kwa kuitaka Serikali kuwachukuliwa hatua viongozi wa juu
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbunge huyo alisema mwenyekiti
wa chama hicho, Freeman Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wake, Dk. Wilbroad Slaa,
wanapaswa kuchukuliwa hatua kwa madai ya kusababisha mauaji ya raia.
Wednesday, August 28, 2013
KING CRAZY GK IZ BACKKKK!!!!KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA NA DOWNLOAD NGOMA HIII HAPA,,BARAKA AU LAAN NDO JINA LAWIMBO,
Baada ya ukimya wa miaka sita bila ngoma wala interview,
leo King Crazy GK akiwa amesindikizwa na East Coast Team nzima kuanzaia AY,
Mwana FA, Buf G (Gizinga), Paulin Zongo, Yuzo pamoja na Snea, ameibuka na
kudondosha single mpya "Baraka au Laana" aliyomshirikisha Yuzo
Baraka au laana ni swali ambalo nimewaachai watanzania
wajiulize, ni baraka au ni laana uzaliwa Afrika, unajua kitaka kujua kile
anachokiwaza mwingine muulize swali, akianza kufunguka ndio utajua anawaza nini
juu ya ulichomuuliza, so hili ni swali kwa Watanzania. tumekuwa tukiskia watu
wakisema bora kuzaliwa paka Ulaya kuliko kuzaliwa binaadam Afrika, kwasababu
kule wanyama wanatimiziwa haki zao kuliko sisi huku, sasa tujiulize is it
true..amesema GK."
DYANA NYANGE AMTUHUMU DIAMONDI KWA KUMUIBIA WIMBO WAKE,,
Baada
ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha, nataka kulewa. Msanii Naseeb
Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma baada ya kusadikiwa wimbo
anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond
wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi
Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na
kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.
hii
ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana kila kitu na wimbo wa Diamond
anaotaka kuachia. skiliza na pia waweza ku share na wenzio
msikilize dyna hapa
msikilize dyna hapa
Tuesday, August 27, 2013
WENGI SANA ESPECIALLY HAPA TZ HUWA TUNAFIKIRI KWAMBA KWA UMAARUFU WA GARI KAMA RANGE ROVER NA VX,HUENDA HIZI GARI NDO ZITAKUA NDO THE MOST EXPENSIVE DUNIANI,,MAMBO NI TOFAUTI HEBU ANGALIA TOP TEN YA GARI ZA BEI ZAIDI DUNIANI -2013
1 Bugatti Veyron Super Sports $2,400,000
This is by far the most expensive street legal production car available on the market today (the base Veyron costs $1,700,000). Capable of reaching 0-60 mph in 2.5 seconds, the Veyron is the fastest street legal car when tested again on July 10, 2010 with the 2010 Super Sport Version reaching a top speed of 267 mph (430 km/h). When competing against a Bugatti Veyron, you better be prepared!
2 Aston Martin One-77 $1,850,000
FAT JOE KUTUPWA LUPANGO MIEZI MINNE KWA KOSA LA KUKWEPA KULIPA KODI.
the hit maker wa whats love,, aloha na ngoma kali nyingi sana FAT JOE 43, jana ameenda kuanza maisha yake kama mfungwa kwa kosa la kukwepa kulipa kodi,
Kabla ya kuenda kuanza kifunga chake fat joe alitweet na kuwaambia mashabiki wake kwamba wasiwe na wasi kwani atarudi mara tu baada ya kumaliza muda wake gerezani.
fat joe amehukumiwa kifungo hicho kwa kosa la kukwepa kodi kiasi cha dola miliani 30 hapo mwaka 2007 na 2010.
PICHA,,RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA JAJI FRANSIS MUTUNGI NA NDUGU JOHN TENDWA ALIYEACHIA MADARAKA.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi na
Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwa baada ya kumuapisha Jaji
Mutungi Ikulu jijini Dar es Salaam .
Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinakubaliana na rasimu ya
Katiba kwa sababu asilimia 80 ya rasimu hiyo kwa kile inachoeleza inalinda
maslahi ya wananchi.Kadhalika Chama hicho kimependekeza kuingizwa kwa kipengele
cha haki ya wakulima na wafugaji katika Katiba mpya huku, kikiunga mkono kuwapo
kwa serikali tatu .
NEY WA MITEFO NA CHID BENZI WAMALIZA BIFU LAO,,MADEE NDIYE ALIYEWAPATANISHA,
Yeyote
ambae damu yake ipo sana kwenye muziki wa bongofleva ni lazima atakua anafahamu
kuhusu ugomvi wa muda mrefu, kutoelewana kwa Chidi Benz na Ney wa Mitego, ishu
ambayo ilihusishwa hata kwenye nyimbo zao.
Shuhuda
mkuu wa tukio lenyewe ni msanii Madee ambae naanza kwa kumkariri anasema ‘hizi
ndio faida za Serengeti Fiesta, kujuana na kukutana na watu wengi, hiki ni kitu
ambacho nilikipanga mimi… watu wanafikiria tu sisi tunakwenda kule kufanya muziki,
mbali na pesa tunazolipwa vizuri sasa hivi kwenye Fiesta, kuna faida nyingine
pia, niliposikia Chidi Benz yupo kwenye Fiesta nilijipanga lazima nifanye hivi
manake Chidi na Ney wote nawajua, nimekaa nao’
VYUO VIKUU VYA LIBERIA KUKOSA WANACHUAO BAADA YA WANAFUNZI WOTE WA FORM SIX KUFELI MITIHANI YAO.
Inakuaje
pale wanafunzi wa form six ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo kikuu wanafeli
wote nchi nzima na kushindwa kujiunga na chuo kikuu?.Kwa mara ya kwanza katika
historia ya Liberia, wanafunzi wote wamefeli mtihani
wao wa mwisho wa sekondari na hivyo kumaanisha kuwa hakuna hata mmoja ambaye
atafuzu kuingia chuo kikuu.
Chuo
kikuu cha Liberia kwa mwaka 2013/2014 hakitakuwa na mwanafunzi hata mmoja kwa
ajili ya kozi yoyote ile kutokana na wanafunzi hao kufeli. Waziri wa elimu wa
Liberia anasema wanafunzi wameshindwa kufaulu mtihani huo kutokana na lugha
walioitumia ya kiingereza. Wanafunzi hao hawakuwa na uelewa mzuri wa lugha ya
kiingereza ambayo ilitumiwa kuwatahini.
Hata
hivyo wanafunzi wengi hawana imani na matokeo hayo na waziri wa elimu anajaribu
kuongea na chuo kikuu cha Liberia kuona jinsi watakavyofanya.
ZITTO KUTOGOMBEA URAIS 2015
MBUNGE
wa Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema hafikirii kugombea
urais kwa tiketi ya chama hicho wala ubunge katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.
Alisema
mwaka 2015, ndio mwaka wa mwisho kujihusisha na siasa ambapo dhamira yake ni
kutafuta chuo ambacho ataweza kufundisha masomo ya uchumi na maliasili.
Monday, August 26, 2013
AFRICA TUNARUDISHWA KWENYE UKOLONI...!!??SOMA,TAFAKARI,,,CHUKUA HATUA,,,
HAYA ninayoyaandika leo katika safu hii
yanaweza kuwa si mageni. Inawezekana kabisa ni marudio ya
kilichokwishakuandikwa.
Huenda pia ni mambo yanayoudhi baadhi ya watu
ama kwa maudhui yake au kwa kurudiwarudiwa kwake. Mara nyingi kuhoji mazoea si
jambo linalopokewa vyema hasa na wale wasioona tatizo katika hali ilivyo
(status quo).
Leo ninapenda kudadisi kwa ukaribu zaidi hicho
ninachokiona huko tunakoelekea kama jamii ambako huenda si wengi wetu wanaoona
umuhimu wa kufanya hivyo. Kabla sijaingia katika udadisi huo nirejee kwa kifupi
utangulizi wangu ambao utaweka mawazo yangu ya leo katika muktadha wake kamili.
NIKK MBISHI NI MUATHIRIKA WA UKIMWI!!!!??
Tumekuwa tukishuhudiwa vituko mbalimbali
vya wasanii wetu ambao wamekuwa wakihangaika
usiku na mchana kuusaka umaarufu....
Wapo ambao wamekuwa wakivua nguo zao jukwaani, wapo ambao wamekuwa wakipiga picha za uchi na kuzitupia mitandaoni.Yote hiyo ni kutafuta Jina au umaarufu ambao mimi binafsi nauita ni umaarufu wa kishamba.....
Wapo ambao wamekuwa wakivua nguo zao jukwaani, wapo ambao wamekuwa wakipiga picha za uchi na kuzitupia mitandaoni.Yote hiyo ni kutafuta Jina au umaarufu ambao mimi binafsi nauita ni umaarufu wa kishamba.....
DADA WA MBOWE ATIMKIA CCM.
DADA
wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Mbowe,
amejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) akitokea Chadema, kwa kile alichodai
haoni jambo jipya katika chama hicho.
Grace amesema amehama kutokana na kuwepo propaganda zisizotekelezeka. Hata hivyo, amesisitiza kwamba kuwepo kwake katika Chadema, siyo kwa sababu ya familia.
Grace amesema amehama kutokana na kuwepo propaganda zisizotekelezeka. Hata hivyo, amesisitiza kwamba kuwepo kwake katika Chadema, siyo kwa sababu ya familia.
DILLISH KUTOKA NAMIBIA AIBUKA NA MADORALI YA BBA.
Mshiriki kutoka Naibia "Dillish" ndio mshindi wa Big
Brother Africa (the chase) alieondoka na dola 300,000 katika fainali
zilizofanyika usiku huu (August 25th).
Dillish mwenye miaka 24, hajawahi kuwa head of the house hata siku moja katika siku zote 91 alizokuwa ndani ya jumba, alishawahi kuwa nominated mara 5 na mara zote alibaki kwa kura za Africa, na hajawahi kuwa na mahusiano na mshiriki yoyote.
Dillish mwenye miaka 24, hajawahi kuwa head of the house hata siku moja katika siku zote 91 alizokuwa ndani ya jumba, alishawahi kuwa nominated mara 5 na mara zote alibaki kwa kura za Africa, na hajawahi kuwa na mahusiano na mshiriki yoyote.
HATIMAYE FOOLISH AGE YA LULU YARUHUSIWA KUINGIA SOKONI.
Siku chache baada ya
kutangaza kuzindua filamu yake mpya "Foolish Age" , lulu ametoa
statement inayoonyesha kuwa kumekuwa na maneno ya kuwa filamu hiyi imezuiliwa
na bodi ya ukaguzi wa filamu. kupitia acc yake ya Instagram, Lulu amesisitiza
kuwa Filamu yake imeshakaguliwa na tayari ameshapata kibali kuendelea na
uzinduzi huo.
WACHUNGAJI WAHUSISHWA NA UFREEMASON,,SOMA RIPOTI KAMILI HAPA.
HIZI habari zimekuwa ya kushtua sana kwangu japo mambo kama haya
nilitegemea sana kuyaskia leo katika pitapita za mitandaoni nikaliona hii
Habari ya wachungaji mafreemason, kwakweli inashtua sana na sasa wakristo na
wafuasi wa madhehebu yote inabidi kuwa makini sana na hii hali tusije
tukajikuta tunajutia maisha yetu baadae.
Friday, August 23, 2013
KWA MARA YA KWANZA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WAMUWEKA HADHARANI MTOTO WAKE
Kanye west leo hii kwa
mara ya kwanza ameonyesha picha ya mtoto wake na Kim Kardashian " North
West" katika kipindi cha television cha Kris Jenner ambae ni mama yake na
Kim.
Mwanzoni Kim na Kanye walikuwa na ubishani juu ya kutumia picha
ya mtoto wao kupata pesa kwa ajili ya charity, lakini inaonekana Kanye ameona
kupitia kipindi cha mama mkwe wake ndio poa..maana ni kipindi kipya labda
anataka kumpandishia chati.
SIKILIZA HISTORIA YA DIAMOND,,KUMBE JAMAA ALIKUA MUUZA MITUMBA,,CHEKI VIDEO HII AKIWA TABORA KWENE TAMASHA LA FIESTA.
Hitmaker wa 'Moyo Wangu' Naseeb Abdul akiwa ni miongoni mwa
wasanii walio katika ziara ya Serengeti Fiesta sasa leo kwenye semina ya fursa
huko mkoani Tabora aliweza kufunguka na kueleza jinsi alivyosota,alivyouza
mitumba,mafuta na kazi ya kiwadani.
Itazame hii video hapa uone jinsi akielezea katika Semina ya Fursa mkoani
Itazame hii video hapa uone jinsi akielezea katika Semina ya Fursa mkoani
FIAMU MPYA YA LULU YA FOOLISH AGE YAZUILIWA KUTOKA,,,SABABU NI MAVAZI YASIYOENDANA NA MAADILI YA KITANZANIA.
Msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) akiweka sahihi yake
kuashiria amekubaliana na taratibu zote alizoelekezwa na Bodi ya Filamu wakati
wa ukaguzi wa filamu yake ya “Foolish Age”
Thursday, August 22, 2013
STAA WA TAMTHILIYA YA "PRISON BREAKER" AJITANGAZA KUWA NI SHOGA.
Kwa mujibu wa ripoti
iliyoandikwa na mtandao wa the people.com,Wentwoth ameweka wazo taarifa hiyo kwenye barua aliyo andika
kukataa mwaliko kuhudhuria tamasha la filamu la kimataifa la st petersburg
nhini urusi
Barua hiyo
ilichapishwa kernye mtandao wa “gay lesbian alliance against defamation”
WEMA SEPETU TENA!!!! ANASWA NA JAMAA MWINGINE KABISA.
LICHA ya kunaswa katika matukio tofauti, Wema
Sepetu hasikii. Safari hii imenaswa picha inayomuonesha akimshushia busu
motomoto jamaa anayefahamika kwa jina la Rommy Jonson.
Picha hiyo ambayo inamuonyesha wema akimbusu
jamaa huyo katika pozi lenye hisia kali za kimapenzi imenaswa katika mtandao wa
kijamii wa instagram
ALAWITI MTUMISHI NA KUSAMBAZA VIDEO
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz, aliliambia Tanzania Daima kuwa kijana huyo ambaye anamiliki maduka ya kuuza na kutengeneza CD katika kituo kikuu cha mabasi cha mjini Moshi, alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), akitokea Dubai.
POLISI FEKI WENGINE WANASWA.
SIKU chache baada ya kukamatwa kwa askari feki wa usalama
barabarani, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewakamata watuhumiwa saba
wa ujambazi, wakiwa na sare za Polisi, huku mwingine akijifanya ofisa Usalama
wa Taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaa, Suleiman Kova alisema watuhumiwa hao walikamatwa wakiwa na sare za Polisi jozi mbili.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaa, Suleiman Kova alisema watuhumiwa hao walikamatwa wakiwa na sare za Polisi jozi mbili.
Subscribe to:
Posts (Atom)