Showing posts with label muziki. Show all posts
Showing posts with label muziki. Show all posts

Tuesday, February 25, 2014

RAY C AANZISHA ASASI YA KUELIMISHA JUU YA ATHARI ZA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA.


Baada ya kujitumbukiza katika matumizi ya madawa haram ya kulevya na kumsababishia madhara makubwa katika kazi zake na afya yake kwa ujumla, Ray C aamua kuanzisha asasi itakayowasaidia vijana na jamii kwa ujumla kuelewa na kutambua madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya...zaidi bofya hapo chini 




Friday, August 16, 2013

LADY JAY DEE KULA SAHANI MOJA NA MWANA FA,,NAE ANAACHIA VIDEO YA YAHAYA KESHO


baada ya Hasimu mkubwa wa Mwanadada Judith Wambura a.k.a lady jaydee,, MWANA FA kuachia video ya ngoma yake ya KAMA ZAMANI,,sasa kesho lady jay dee nae anategemea kuachia kichupa chake brand new single ya YAHAYA.Noma sana,,,watu maswali vichwani ,kuna uwezekani hawa watu wana biff lenye nia ya kuwaweka pazuri kibiashara,??au ni bifu la kiukweli ukweli,,,kazi kwako

muhimu ,,pitia kesho hapa hapa ucheki video hiyo mpya..

suikiiaza wimbo mpya wa stereo -HAINA NGWASU

Monday, August 12, 2013

MWANA FA KUACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE "KAMA ZAMANI" ALHAMISI YA WIKI HII.


Bada ya wadau wengi na mashabiki wa mwana FA kuizungumzia na kuingojea kwa muda video ya wimbo wa mwana FA, KAMA  ZAMANI,mambo sasa kukamilika alhamisi ya wiki hili ambapo video hiyo itaonekana rasimi kwenye vituo vya television nje na ndani ya nchi.
video hiyo itananza  kuonekan chanel O, 

NIKIFA SIHITAJI KAMATI YOYOTE YA KUENDESHA MSIBA WANGU.,KAULI YA NAY WA MITEGO.


Hit maker wa muziki gani,nasema nao,na salamu zao, Ney wa Mitego, ameweka wazi kuwa ikitokea amefariki dunia hatohitaji kamati kwa ajili ya kuendesha mipango ya msiba wake, "#kwa kile anachodai kuwa kamati hizo zipo kwa ajili ya kuvuna pesa".
Hayo aliweka wazi baada kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yake wenye vitisho uliotokana na mashairi alioimba kwenye single yake mpya ya 'Salaam zao' .

Sunday, August 11, 2013

NAY WA MITEGO KATEMANA NA DEMU WAKE!!!!??


Nay wa mitego akiwa na demu wake,,X girfriend!!!??
                                         
JANA  Nay wa Mitego alikuwa akiandika ujumbe wenye mafumbo kwenye Instagram na baada ya kuusoma ndani ya mistari  ilibainika kuwa  huenda mambo si mazuri kati yake na mpenzi wake ambaye hivi karibuni alikuwa akitarajia kumzalia mtoto lakini mimba ikaharibika.



Nay ambaye jina lake halisi ni Emmanuel Munisi, jana alianza  kwa kuandika ujumbe huu: Sasa mapenzi basi# by diamond Platnumz..!! Single boy# Ally Kiba#966

Baada ya muda kidogo aliandika tena: 
"Niko ivi,,, nikikupenda nakupenda kwa asilimia 100# na kila m2 atajua juu ya upendo wangu kwako..!! Bt ukizingua nakuacha na ninakusahau kwa asilimia 200# na kwa muda mchache 2. 


"Nikiamua huwa sirudi nyuma..!!# Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe# by Linex.#966’



Thursday, August 8, 2013

RAY C AELEZA SABABU ZILIZOMFNYA AANZE KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA,,




 Hit maker wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Akiwa na muonekano mpya, mchangamfu, aliyenawili, mrembo na mwenye afya njema, Ray C alizungumza kwa undani kwenye The Interview ya Clouds TV kuanzia namna alivyoingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, jinsi yalivyomwathiri na namna alivyosaidiwa hadi leo amekuwa hivyo.

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA MABESTE-MNISHAURI

Tuesday, August 6, 2013

UYU DIAMOND SASA BAAASI!! EBU CHEKI NA HII,,AKIWA SAOUTH AFRICA.

the hit maker wa kesho,mbagala,,ukimwona na nyingine nyingi, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.


akishoot video yake mpya.

mafundi wa kirekebihsa plate nomber ya wasafi.

Monday, August 5, 2013

SIKILIZA NGOMA MPYA YA RICK ROSS-I WONDER Y!!! I love this


new song,,,Mchizi mox-piga makofi.

RAPPER 50 CENTS AKUMBANA NA BALAA LINGINE.

50 CENTS



Rapa na muigizaji 50 Cent  anakabiliwa na mashtaka ya  kumshambulia girfriend wake wa zamani .

Kesi hiyo ya rapper na mwigizaji, ambaye jina lake halisi ni Curtis Jackson, ilikuwa imepangwa kusikilizwa Jumatatu.yaani leo!! 

Kama atapatikana na hatia the hit maker wa "In Da Club" atakabliwa na kifungo cha hadi miaka mitano jela na faini ya $ 46,000  . 

Mwanamke huyo  aliwaambia polisi kwamba  Juni 23, Jackson alianza kuharibu vitu vyake vya ndani kabla ya yeye kujifungia chumbani. 
Anasema Jackson alipiga mateke mlango akimlazimisha kufungua na hivyo kumsababishia  kuumia. 

Polisi wanakadiria kutokea uharibifu wa hadi   $ 7,100 katika nyumba hiyo. 

mwanamke huyo  aliwaambia polisi kuwa yeye alikuwa katika uhusiano wa miaka mitatu na ana mtoto na Jackson ambaye anahusishwa na  kushughulika na biashsara za madawa ya kulevya na vurugu katika nyimbo zake  nyingi.



Sunday, August 4, 2013

PENNY ATOA YA MOYONI,,NI KUHUSIANA NA WIMBO MPYA WA YOUNG KILLER AMBAO NA YEYE AMEONGELEWA.


kwa mujibu wa mchumba wake Diamond, pennuel Mungilwa aka vj penny.wote kwa pamoja ni mashabiki wakubwa wa rapper Young killaer-Msodoki the son kutoka mwanza mwanza ambaye anuwezo wa kali ya juu katika suala zima la uandishi wa mashaili na kuchana.

Hili ndio top cover ya wimbo huo 


SASA SIKILIZA WIMBO WENYEWE\

Dogo anasema ".....................
sasa vipi ningekuwa na Penny,
hivi nitakua free au ningekua na mwasiti
wa THT ila penny nahisi Diamond atanisumbua hata mwasiti najua pendo langu atalivua,
kwanza long time agoo,nilishazimikaga kwa wema,
ila skendo za madazeti moyo wangu ukamtema,.......................
                                                            
    
PENNY AMEKIRI KWAMBA YOUNG KILLER NI THE BEST KATIKA WASANII WA  
HIPHOP WENYE UMRI  MDOGO WANAOIBUKA KWA SASA.                                           

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...