Siku chache baada ya
kutangaza kuzindua filamu yake mpya "Foolish Age" , lulu ametoa
statement inayoonyesha kuwa kumekuwa na maneno ya kuwa filamu hiyi imezuiliwa
na bodi ya ukaguzi wa filamu. kupitia acc yake ya Instagram, Lulu amesisitiza
kuwa Filamu yake imeshakaguliwa na tayari ameshapata kibali kuendelea na
uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment