Baada ya ukimya wa miaka sita bila ngoma wala interview,
leo King Crazy GK akiwa amesindikizwa na East Coast Team nzima kuanzaia AY,
Mwana FA, Buf G (Gizinga), Paulin Zongo, Yuzo pamoja na Snea, ameibuka na
kudondosha single mpya "Baraka au Laana" aliyomshirikisha Yuzo
Baraka au laana ni swali ambalo nimewaachai watanzania
wajiulize, ni baraka au ni laana uzaliwa Afrika, unajua kitaka kujua kile
anachokiwaza mwingine muulize swali, akianza kufunguka ndio utajua anawaza nini
juu ya ulichomuuliza, so hili ni swali kwa Watanzania. tumekuwa tukiskia watu
wakisema bora kuzaliwa paka Ulaya kuliko kuzaliwa binaadam Afrika, kwasababu
kule wanyama wanatimiziwa haki zao kuliko sisi huku, sasa tujiulize is it
true..amesema GK."
No comments:
Post a Comment