MISS Tanzania 2011,
Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake
hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.
Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano
maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga
– Mwenge jijini Dar es Salaam.
HABARI KAMILI
Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.
Swali la msingi lililozaa jibu hilo ni pale alipoulizwa kama aliwahi kutoa mimba tangu alipoanza kuelea kwenye bahari ya mapenzi, ambapo alikana kisha akafafanua: “Mimba! Weeeee.... hapana. Sijawahi kupata wala kutoa mimba.”