MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amechafua
hali ya hewa bungeni kwa kuitaka Serikali kuwachukuliwa hatua viongozi wa juu
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbunge huyo alisema mwenyekiti
wa chama hicho, Freeman Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wake, Dk. Wilbroad Slaa,
wanapaswa kuchukuliwa hatua kwa madai ya kusababisha mauaji ya raia.
Showing posts with label MWIGULU NCHEMBA.. Show all posts
Showing posts with label MWIGULU NCHEMBA.. Show all posts
Thursday, August 29, 2013
Tuesday, August 20, 2013
SIASA ZA KIBABE,,SOMA ALICHO ANDIKA LEO HII MWIGULU NCHEMBA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.
JESCA KISHOA(CHADEMA) KUNITUKANA JIMBONI KWANGU IWE MWANZO NA MWISHO.
Ndugu,
Jesca Kishoa,Nimepata habari na mkanda mzima wa mikutano yako ya kufungua matawi ya CHADEMA wilaya ya Iramba.
Umetumia siku nzima kunitukana,kunizushia na kuwazuia wananchi wangu kushiriki shughuli za maendeleo ya wilaya yao.

Subscribe to:
Posts (Atom)