Showing posts with label MANSOOR HIMID. Show all posts
Showing posts with label MANSOOR HIMID. Show all posts

Monday, August 19, 2013

CCM ZANZIBAR YAMFUKUZA MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBECHAI.MH, MANSOOR HIMID.




ZANZIBAR;
Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, imepitisha pendekezo la kumvua uanachama Mwakilishi wa jimbo la Kiembesamiki na Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mansoor Yusuph Himid, huku wajumbe wengine wakimshutumu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kwa kauli zake zinazoteteresha umoja wa kitaifa.

Habari kutoka ndani ya kikao hicho kilichokuwa chini ya uenyekiti wa Dk.Ali Mohamed Shein na kumalizika usiku mkubwa juzi katika ofisi za makao makuu ya CCM zilizopo Kisiwandui, zinaeleza kuwa wajumbe wa NEC wakiwemo Wabunge, Wawakilishi walisema Mansoor ameshindwa kulinda sera na ilani ya uchaguzi ya chama hicho kutokana na msimamo wake wa kutetea mamlaka kamili ya Zanzibar. 

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...