Baada
ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha, nataka kulewa. Msanii Naseeb
Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma baada ya kusadikiwa wimbo
anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond
wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi
Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na
kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.
hii
ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana kila kitu na wimbo wa Diamond
anaotaka kuachia. skiliza na pia waweza ku share na wenzio
msikilize dyna hapa
msikilize dyna hapa
No comments:
Post a Comment