Showing posts with label wabunge wetu. Show all posts
Showing posts with label wabunge wetu. Show all posts

Friday, August 16, 2013

WABUNGE WANUSURIKA AJALI BAADA YA GALI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUTAKA KUUNGUA.

Wakati msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ukielekea Wilayani Missenyi kukagua sehemu utakapojengwa uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Omukajunguti, gari aina ya Costa lenye namba za usajili T 570 BYU lilowabeba Waheshimiwa Wabunge 11 lilipata hitilafu na kutaka kuungua.P.T


LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...