Kwa mujibu wa ripoti
iliyoandikwa na mtandao wa the people.com,Wentwoth ameweka wazo taarifa hiyo kwenye barua aliyo andika
kukataa mwaliko kuhudhuria tamasha la filamu la kimataifa la st petersburg
nhini urusi
Barua hiyo
ilichapishwa kernye mtandao wa “gay lesbian alliance against defamation”
Asante kwa mwaliko wenu kama mtu niliyefurahia
kuitambelea urusi miaka ya nyuma na ambaye nina asili ya urui ,,ingenipa fursa
kusema ndio,,aliandika hivyo ,,nikiwa kama shoga ni lazima niukatae.
Aliongeza,,ninakerwa
kwa kiasi kikubwa na jinsi mashoga
wanavyotendewa na serikali ya urusi,,hali
ilivyo haikublaliki kwa namna yoyote na
siwezi kushirirki kwa amani tukio linloandaliwa na na nchi ambako
watu kama mimi wanyimwa haki yao
ya msingi na kuishi na kupenda uwazi,pengine,pindi mambo yakibadilika
ntalua huru kuchukua uamuzi tofauti
Barua hiyo imetokana
na sheria dhidi ya ushoga
iliyosainiwa na rais vladmir putin wa
urusi,urusi ilipitisha sheria hiyo mwezi uliopita inayozuia mijadala ya wazi
kuhusu haki na mahusiano ya jinsia moja
popote pale ambapo watoto wanaweza
kuhusika.
Mwezi june ,nchi hiyo
ilianzisha sheria inayokataza kuasiliwa kwa watoto wa urusi na wapenzi wa
jinsia moja wanaoishi jkatika nchi inayokubal sera zxa mahusiano ya jisnsia
moja,,lesbiani,gay,bisexual and transgendar
Wentwoth alijipatia
umaarufu kwenye tamthilia ya prison break ya mwaka 2005 hadi 2009 .pia ameandika
na kushiriki kutayarisha filamu ya mwaka iitwayo stoker,aliyoigiza Nicole kidman
No comments:
Post a Comment