the hit maker wa whats love,, aloha na ngoma kali nyingi sana FAT JOE 43, jana ameenda kuanza maisha yake kama mfungwa kwa kosa la kukwepa kulipa kodi,
Kabla ya kuenda kuanza kifunga chake fat joe alitweet na kuwaambia mashabiki wake kwamba wasiwe na wasi kwani atarudi mara tu baada ya kumaliza muda wake gerezani.
fat joe amehukumiwa kifungo hicho kwa kosa la kukwepa kodi kiasi cha dola miliani 30 hapo mwaka 2007 na 2010.
No comments:
Post a Comment