Majek Fashek, Jay Jay Okocha |
Staa huyu wa mpira, amejiingiza katika
tasnia ya filamu kama mtayarishaji, na sasa yupo katika mchongo wa kutayarisha
filamu kuhusu nyota wa muziki wa reggae anayefahamika kwa jina Majek Fashek
ambayo imeandikwa na Charles Novia iliyopo katika hatua za awali za
utayarishaji wake.
Baadhi ya vipande vya filamu hii
vitafanyika huko New York Marekani mwezi wa kumi, ambapo wahusika katika nafasi
za filamu hii ni Francis Duru, Sam Dede, Stella Damascus pamoja na waigizaji
wengine
JAMAA AKIWA NA WAKALI WENGINE KUTOKA NOLLYWOOD,,
No comments:
Post a Comment