Kanye west leo hii kwa
mara ya kwanza ameonyesha picha ya mtoto wake na Kim Kardashian " North
West" katika kipindi cha television cha Kris Jenner ambae ni mama yake na
Kim.
Mwanzoni Kim na Kanye walikuwa na ubishani juu ya kutumia picha
ya mtoto wao kupata pesa kwa ajili ya charity, lakini inaonekana Kanye ameona
kupitia kipindi cha mama mkwe wake ndio poa..maana ni kipindi kipya labda
anataka kumpandishia chati.
No comments:
Post a Comment