Wednesday, August 21, 2013

FILAMU YA SITAKI DEMU YA JUMA NATURE NA SINTA,,KUINGIA SOKONI HIVI KARIBUNI

Habari njema kwa mashabiki wote waliokuwa wamemisi  closeness ya ile couple iliyomake headlines kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari kila uchwao miaka ya 2000,,,Nomuongelea  JUMA KASIM KIROBOTO NA SINTA,,sasa wameamua kufanya filamu ya pamoja,,,Gueeessss what!!!!!ni MWENZI OCTOBER IYO ,,kaa mkao wa kula.

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...