kwa mujibu wa mchumba wake Diamond, pennuel Mungilwa aka vj penny.wote kwa pamoja ni mashabiki wakubwa wa rapper Young killaer-Msodoki the son kutoka mwanza mwanza ambaye anuwezo wa kali ya juu katika suala zima la uandishi wa mashaili na kuchana.
Hili ndio top cover ya wimbo huo
SASA SIKILIZA WIMBO WENYEWE\
Dogo anasema ".....................
sasa vipi ningekuwa na Penny,
hivi nitakua free au ningekua na mwasiti
wa THT ila penny nahisi Diamond atanisumbua hata mwasiti najua pendo langu atalivua,
kwanza long time agoo,nilishazimikaga kwa wema,
ila skendo za madazeti moyo wangu ukamtema,.......................
PENNY AMEKIRI KWAMBA YOUNG KILLER NI THE BEST KATIKA WASANII WA
HIPHOP WENYE UMRI MDOGO WANAOIBUKA KWA SASA.
No comments:
Post a Comment