50 CENTS
Rapa na muigizaji 50 Cent anakabiliwa na mashtaka ya kumshambulia girfriend wake wa zamani .
Kesi hiyo ya rapper na mwigizaji, ambaye jina lake halisi ni Curtis Jackson, ilikuwa imepangwa kusikilizwa Jumatatu.yaani leo!!
Kama atapatikana na hatia the hit maker wa "In Da Club" atakabliwa na kifungo cha hadi miaka mitano jela na faini ya $ 46,000 .
Mwanamke huyo aliwaambia polisi kwamba Juni 23, Jackson alianza kuharibu vitu vyake vya ndani kabla ya yeye kujifungia chumbani.
Anasema Jackson alipiga mateke mlango akimlazimisha kufungua na hivyo kumsababishia kuumia.
Polisi wanakadiria kutokea uharibifu wa hadi $ 7,100 katika nyumba hiyo.
mwanamke huyo aliwaambia polisi kuwa yeye alikuwa katika uhusiano wa miaka mitatu na ana mtoto na Jackson ambaye anahusishwa na kushughulika na biashsara za madawa ya kulevya na vurugu katika nyimbo zake nyingi.
No comments:
Post a Comment