Wimbo rasmi wa kombe la dunia mwaka huu
umeshatoka na safari hii Pit Bull Jenifer Lopez na Claudia Leitte ndio wamekula
shavu la kurecord wimbo huo.
Wimbo huo umeimbwa kwa lugha tatu ambazo ni
Kingereza, Kireno na ki-spanis.
Licha ya kufikisha wasikilizaji 9,223,850 mpaka hivi sasa,
asilimia kubwa wauponda wimbo huo, hasa kwa madai ya kuwa pitbull hakufaa
kuwepo katika wimbo huo na hata wengine kuuliza inakuwaje wimbo wa kombe la
dunia pitubull achane?...
No comments:
Post a Comment