Sunday, August 18, 2013

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KARAGWE AHAMIA CHADEMA.

Bw. Justinian KAZUNGURU aliekuwa Mwenyekiti wa CCM na Kada maarufu sana ndani ya CCM kwa miongo kadhaa wilayani Karagwe, leo hii tarehe 17 Agosti 2013, mbele ya Makamanda madhubuti Mhe. Mbowe, Tundu Lissu na Mnyika, amevua Gamba na Kuvuaa Gwanda mjini Kayanga-Karagwe. 

Ndugu Kazunguru amejiunga rasmi na CHADEMA na hakika ni MTAJI kwa wanamapinduzi hapa nchini kwetu. Kuhama kwa Bw. Kazunguru kutoka CCM kwenda CHADEMA ni pigo kubwa kwa CCM Mkoa wa Kagera na Taifa. 

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...