Saturday, May 10, 2014
Friday, May 9, 2014
KIONGOZI MKUU WA UPINZANI BUNGENI, MH FREEMAN MBOWE ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI VIVULI.
| WAZIRI MKUU | KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI (KUB) | ||||||||||||
| MIZENGO KAYANZA PETER PINDA | FREEMAN AIKAELI MBOWE | ||||||||||||
| WIZARA | WAZIRI WA CCM | NAIBU WAZIRI CCM | WAZIRI KIVULI | NAIBU WAZIRI KIVULI | |||||||||
| (UKAWA) | (UKAWA) | ||||||||||||
| 1 | OFISI YA RAIS | CAPT. GEORGE | PROF. KULIKOYELA | ||||||||||
| (UTAWALA BORA) | MKUCHIKA | KAHIGI(CHADEMA) | |||||||||||
| 2 | OFISI YA RAIS | ||||||||||||
| (MENEJIMENTI YA | CELINA KOMBANI | VINCENT NYERERE | |||||||||||
| UTUMISHI WA | (CHADEMA) | ||||||||||||
| UMMA) | |||||||||||||
Monday, May 5, 2014
Friday, April 18, 2014
CHADEMA,CUF ,NCCR KUUNGANA NA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI VIVULI BUNGENI
Tumekuwa na mazungumzo na wenzetu na hili jambo ni moja ya mambo ambayo
tumekubaliana kushirikiana,
maana kila upande unahitaji mwenzake katika kuikomboa nchi hii” Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Chadema( katikati)
maana kila upande unahitaji mwenzake katika kuikomboa nchi hii” Freeman Mbowe,Mwenyekiti wa Chadema( katikati)
Thursday, April 17, 2014
HATUTARUDI BUNGENI NG'O!!!!!!!NI KAULI YA UKAWA,,WAJIPANGA KUSAMBAZA CD ZA HOTUBA YA LUKUVI KANISANI NCHI NZIMA.
WAJUMBE
wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema
hawatarudi bungeni na badala yake kuanzia kesho wataanza mikutano ya hadhara
nchi nzima kuwaeleza wananchi juu ya hila za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na
washirika wake kutaka kuhodhi mchakato wa uandikaji wa Katiba mpya.
UKAWA
wamesema katika mikutano hiyo watazisambaza ‘CD’ zinazomuonesha Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, akiwa katika
Kanisa la Methodist, mkoani Dodoma akiwaeleza waumini wakatae muundo wa
serikali tatu.
Walisema
kwenye CD hizo, Lukuvi, anaonekana akiwaambia wananchi iwapo wataridhia muundo
wa serikali tatu, jeshi litachukua nchi na Zanzibar itaingia katika utawala wa
Kiislamu.
UKAWA WATOA RATIBA YA MAANDAMANO YA KUPINGA MWENENDO WA MCHAKATO WA KATIBA PMYA.
RATIBA YA MAANDAMANO YA UKAWA YENYE LENGO LA KUPINGA MWENENDO WA
MCHAKATO WA KATIBA MPYA.
Maandamano ARUSHA,
yataongozwa, na JOHNMNYIKA, DAR ES SALAAM
yataongozwa na GODBLESS
LEMA NA SUGU, MWANZA
yataongozwa na TUNDU
LISSU NA Prof LIPUMBA,
KILIMANJARO MOSHI
maandamano yataongozwa
na KABWE ZITTO NA CHIKU
ABAO.
MBEYA yataongozwa na
MAALIMU SEFU,
Maandamano ya IRINGA
yataongozwa na SHIBUDA
NA
NASSARI, Maandamano ya
SHINYANGA yataongozwa na
WENJE NA
SALASINI ,Maandamano ya
PEMBA yataongozwa na
MBOWE NA ANNA
KOMU,maandamano ya
TANGA yataongozwa na
HALIMA MDEE NA
MACHEMLI .
Subscribe to:
Posts (Atom)



