Wednesday, February 26, 2014

KATIBA; USOME WARAKA WA CCM KUHUSU KATIBA,,NA ZAIDI JUU YA SUALA LA MUUNDO WA SERIKALI.


katibu wa itikadi na uenezi Nape Nauye,

Katika mfumo huo wa serikali mbili, waraka huo umependekeza Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais bila kujali kama Rais wa Jamhuri ya Muungano anatoka Bara au visiwani humo.
Waraka huo wa kurasa 22 unaoainisha mambo yenye masilahi kwa chama hicho, unawataka wajumbe wake kuutetea bungeni.

Tuesday, February 25, 2014

KALENGA; GODFREY MGIMWA AICHUKIA CHADEMA KWA SERA ZA KIBAGUZI NA KUMCHAFUA.


MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Bw. Godfrey Mgimwa, amesema yeye ni Mtanzania halisi na hana chembe yoyote ya Uzungu kama wanavyodai CHADEMA. 

VIDEO, MILEY CYRUS AMKISS LIVE KART PERY WAKATI WA TAMASHA LILILOFANYIKA LOS ANGELS.

CCM WAANZA HARAKATI ZA KUGOMBANIA JIMBO LA KALENGA,PICHA NA MAELEZO.


mgombe ubunge kupitia CCM jimbo la kalenga bwana Godfrey Mgimwa akiwa na katibu wa ccm wilaya ya Mufundi

KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu amewataka wananchi wa Jimbo la Kalenga kujua kiasi cha fedha anazolipwa Dk Wilbroad Slaa kila mwezi ili waoanishe na harakati zake anazodai zinalenga kupinga ufisadi.

RAY C AANZISHA ASASI YA KUELIMISHA JUU YA ATHARI ZA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA.


Baada ya kujitumbukiza katika matumizi ya madawa haram ya kulevya na kumsababishia madhara makubwa katika kazi zake na afya yake kwa ujumla, Ray C aamua kuanzisha asasi itakayowasaidia vijana na jamii kwa ujumla kuelewa na kutambua madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya...zaidi bofya hapo chini 




Saturday, February 22, 2014

KUMEKUCHA KALENGA,KAMPENI ZA KUWANIA UBINGE WA JIMBO HILO KUZINDULIWA LEO KWA UPANDE WA CHADEMA,HUKU CCM WAKIJIPANGA KUZINDUA KESHO.


KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbroad Slaa leo Jumamosi atazindua kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, wilayani Iringa katika kijiji cha Kalenga.

Kwa upande wao Chama cha Mapinduzi (CCM) kitanzaa kampeni zake keshokutwa Jumapili katika kijiji cha Mseke wakati kikiendelea na maandalizi ya uzinduzi rasmi wa kampeni hizo.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...