Chama cha
Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimemteua mwanasiasa wake machachari Mbunge wa
Arusha Mjini Mh G. Lema kuwa kampeni meneja katika uchaguzi wa jimbo la
Kalenga,
Wakati huo chama cha Mapinduzi CCM kimemteua Mh Lusinde kuwa kampemi meneja wake,
Hii ni tafsiri ya mapambano ya siasa na matusi, ikikumbukwa matusi ya nguoni aliyowahi kuyaporomosha Mh Lusinde katika uchaguzi wa jimbo la Arumeru bado yapo katika kumbukumbu za watanzania, na wanakalenga watakumbushwa katika hilo
Kwakuongezea tu ni kuwa Pingamizi lililowekwa na Chadema dhidi mgombea wa CCM, limetupiliwa mbali katika mazingira ya kutatanisha kwakuwa halikusikilizwa na kikao chochote,
Taarifa za kuamini kutoka kwa Mkurugenzi wa Kalenga zinasema kuwa kapigiwa simu kutoka kwa "Mlanchi" wa Dar na kuambiwa atupilie mbali kabisa habari za kinachoitwa pingamizi la Chadema.
Sasa wagombea ni
CHADEMA
CCM
CHAUSTA
No comments:
Post a Comment