Afande Sele
ameungana na Rais wa Marekani Barack Obama katika kuunga mkono kauli yake ya
kwamba bangi ni salama kuliko pombe kwa afya ya binadamu.
Akiongea na kipindi
cha Milazo XP kinachorushwa na TBC fm, Afande Selle, mbali na kuunga mkono pia alizungumzia umuhimu wa bangi kama
zao linaloweza pia kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi kama litatumiwa kwa
usahihi.
No comments:
Post a Comment