Mwakilishi wa Tanzania katika jumba
la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy amewasili
leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.

VANESSA MDEE.
No comments:
Post a Comment