Wednesday, February 26, 2014

KATIBA; USOME WARAKA WA CCM KUHUSU KATIBA,,NA ZAIDI JUU YA SUALA LA MUUNDO WA SERIKALI.


katibu wa itikadi na uenezi Nape Nauye,

Katika mfumo huo wa serikali mbili, waraka huo umependekeza Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais bila kujali kama Rais wa Jamhuri ya Muungano anatoka Bara au visiwani humo.
Waraka huo wa kurasa 22 unaoainisha mambo yenye masilahi kwa chama hicho, unawataka wajumbe wake kuutetea bungeni.

Tuesday, February 25, 2014

KALENGA; GODFREY MGIMWA AICHUKIA CHADEMA KWA SERA ZA KIBAGUZI NA KUMCHAFUA.


MGOMBEA Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Bw. Godfrey Mgimwa, amesema yeye ni Mtanzania halisi na hana chembe yoyote ya Uzungu kama wanavyodai CHADEMA. 

VIDEO, MILEY CYRUS AMKISS LIVE KART PERY WAKATI WA TAMASHA LILILOFANYIKA LOS ANGELS.

CCM WAANZA HARAKATI ZA KUGOMBANIA JIMBO LA KALENGA,PICHA NA MAELEZO.


mgombe ubunge kupitia CCM jimbo la kalenga bwana Godfrey Mgimwa akiwa na katibu wa ccm wilaya ya Mufundi

KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu amewataka wananchi wa Jimbo la Kalenga kujua kiasi cha fedha anazolipwa Dk Wilbroad Slaa kila mwezi ili waoanishe na harakati zake anazodai zinalenga kupinga ufisadi.

RAY C AANZISHA ASASI YA KUELIMISHA JUU YA ATHARI ZA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA.


Baada ya kujitumbukiza katika matumizi ya madawa haram ya kulevya na kumsababishia madhara makubwa katika kazi zake na afya yake kwa ujumla, Ray C aamua kuanzisha asasi itakayowasaidia vijana na jamii kwa ujumla kuelewa na kutambua madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya...zaidi bofya hapo chini 




Saturday, February 22, 2014

KUMEKUCHA KALENGA,KAMPENI ZA KUWANIA UBINGE WA JIMBO HILO KUZINDULIWA LEO KWA UPANDE WA CHADEMA,HUKU CCM WAKIJIPANGA KUZINDUA KESHO.


KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbroad Slaa leo Jumamosi atazindua kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, wilayani Iringa katika kijiji cha Kalenga.

Kwa upande wao Chama cha Mapinduzi (CCM) kitanzaa kampeni zake keshokutwa Jumapili katika kijiji cha Mseke wakati kikiendelea na maandalizi ya uzinduzi rasmi wa kampeni hizo.

Thursday, February 20, 2014

USHAHIDI; GODFREY MGIMWA NI MTANZANIA HALISI.

Bw. Godfrey Mgimwa akiwa ameshika Passport yake aliyokuwa akiwaonesha waandishi wa habari leo katika ofisi kuu za CCM mkoa wa Iringa alipokutana na waandishi wa habari***

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekanusha madai yaliyotolewa kwenye pingamizi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba mgombea wao (CCM) katika Jimbo la Kalenga, Godfrey William Mgimwa, siyo Mtanzania na kwamba hastahili kuwania nafasi hiyo ya Ubunge katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Machi 16, mwaka huu.

BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI SIJAWAHI KUONA TANGU TUMEPATA UHURU; MCH MTIKILA.


Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.

Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.Huyo ni rev. Christopher Mtikila. 

Source: BBC swahili

PATA KUFAHAMU ALICHOKISEMA WAZIRI WA MAMBO YA NJE KUHUSU MGOGORO WA MPAKA KATI YA TANZANIA NA MALAWI.


Tanzania bado ipo kwenye mgogoro na nchi ya Malawi juu ya mpaka halisi wa nchi,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Benard Membe amesema hatma juu ya mgogoro huo inategemewa kutolewa mwezi march.

CHADEMA WAMTEUA MH,LEMA KUONGOZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA KALENGA,,HUKU CCM WAKIMTEUA MH,LUSINDE.


Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimemteua mwanasiasa wake machachari Mbunge wa Arusha Mjini Mh G. Lema kuwa kampeni meneja katika uchaguzi wa jimbo la Kalenga, 

DIAMOND ATUPIA PICHA AKIWA SOUTH AFRICA NA MREMBO MWINGINE,,,GUESS WHAT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!SAGA CONTINUE......






PATA KUELEWA MTAZAMO NA MSIMAMO WA ZITTO KABWE KUHUSU SUALA LA POSHO .


Lile sakata la  posho za bunge la katiba ndiyo inayoongelewa sana hivi sasa ambapo pamoja na headlines zote za Wabunge, haya ni mawazo ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuhusu hii posho


Thursday, February 13, 2014

PATA KUJIKUMBUSHA,KUELEWA KWA UFUPI NINI MAANA YA 'VALENTINE DAY',


Hii ni vizuri kuifahamu  wakati unasherehekea siku hii ya Valentine na yule umpendaye ni vizuri kujua maana halisi ya hii Valentine Day ambayo imeapishwa kufanyika kila mwaka February 14.
Neno Valentine lilitokana na jina ‘Valentino’ huyu alikuwa Mtakatifu wa Kiroma aliyeitwa Valentino,siku ya Valentino hufahamika kama Siku ya wapendanao na wengi wanaiita ‘Valentine Day’ ni maadhimisho ambayo hufanyika kila  mwaka.

KESI YA MAUAJI INAYOMKABILI LULU KUANZA KUSIKILIZWA TENA,,,LULU AKESHA AKIOMBA USIKU KUCHA.


STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Ijumaa lina maelezo yake ya kutosha.

Lulu amemwambia paparazi wetu kuwa alishaanza kuyasahau matatizo hayo lakini hataweza kupingana na amri ya mahakama iliyopanga kuanza kusikiliza kesi hiyo kuanzia Februari 17, mwaka huu katika Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar.
“Lazima kesi iendelee na sheria ichukue mkondo wake, pamoja na kwamba nimekaa uraiani kwa kipindi kirefu na kuanza kusahau mambo hayo,” alisema Lulu.

SIKILIZA NA DOWNLOAD MZIGO MPYA WA P SQUARE,,,TEST THE MONEY.





SIKILIZA NA DOWNLOAD KAZI MPYA KUTOKA KWA YOUNG KILLA NA YOUNG D.,,,


Mzigo mpya huo, kutoka kwa young and talented Tanzanians, Country boy akiwa amewashirikisha Young Killa na Young D "Akili Za Usiku"



FAHAMU KINACHOENDELEA KUHUSU OKWI.


Emmanuel Okwi ambae ni mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda aliyesajiliwa na klabu ya Yanga,  ameruhusiwa rasmi kikiwa ni kibali kutoka shirikisho la soka duniani (FIFA) kushiriki kuichezea timu yake ya sasa ambayo ni Yanga.
Okwi ambaye alikuwa amesimamishwa kutokana suala la mgogoro mauzo yake uliokuwa ukizihusisha timu zake za zamani Simba SC ya Tanzania na Etoile Du Sahel ya Tunisia, sasa ameruhusiwa kuitumikia Yanga huku FIFA ikiendelea kufuatilia kiundani kuhusu deni la Simba la dola 300,000 wanaloidai Etoile.

SNURA AUANZA MWAKA 2014 KWA MAJANGA.....


BAADA ya hivi karibuni kufungiwa video ya wimbo wake, staa wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amesema ameendelea kuandamwa na majanga ambapo hivi karibuni alipata msiba wa babu yake huku mdogo wake akipata ajali. 

Akizungumza kwa huzuni, Snura alisema mwaka huu umekuwa wa majanga kwake kwani babu yake huyo alimlea na kushika nafasi ya baba yake tangu alipozaliwa hadi kufikia utu uzima.
“Ukweli nimeumia sana na mwaka huu umekuwa ni wa majanga kwangu kwani babu yangu huyo nilikuwa namuita baba kwa sababu yeye ndiye aliyenilea mpaka nikafikia umri huu nilionao, mdogo wangu naye alipata ajali mbaya yuko hoi hospitali, utumbo ulitoka nje na kwenda kufanyiwa oparesheni, nimechanganyikiwa,” alisema Snura.

NINATEMBEA NA KONDOMU MUDA WOOTE,,,HIYO NI KAULI YA MISS TANZANIA 2011..


MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom’, Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.
Salha alisema hayo, juzi Jumanne katika mahojiano maalum, chumba cha habari cha Magazeti Pendwa Bongo, Global Publishers, Bamaga – Mwenge jijini Dar es Salaam.



HABARI KAMILI
Katika mahojiano hayo, Salha aliwekwa mtu kati ambapo alifafanua ishu hiyo pamoja na mambo mengine ndani na nje ya urembo, bila kusahau tasnia ya sinema ambayo kwa sasa ameingia kwa miguu miwili.

Swali la msingi lililozaa jibu hilo ni pale alipoulizwa kama aliwahi kutoa mimba tangu alipoanza kuelea kwenye bahari ya mapenzi, ambapo alikana kisha akafafanua: “Mimba! Weeeee.... hapana. Sijawahi kupata wala kutoa mimba.”

Saturday, February 1, 2014

HABARI PICHA, MBOWE,MDEE NA ,MSIGWA MARA BAADA YA KUTOKA KITUO CHA POLISI CHA IRINGA.

download kazi mpya ya WEUSI,,,inakwenda kwa jina la GERE.





NJE YA BOX ,OFFICIAL VIDEO -WEUSI.


WAKATI MWIGIZAJI NGURI WA BONGO JOHARI AKIWA MAHUTUTI KITANDANI,,MAMA YAKE ATOA YA MOYONI KUHUSU RAY (VICENT KIGOSI) NA UHUSIANO WAKE NA MWANAE


Makubwa! Kwa mara kwanza mama mzazi wa mwigizaji mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini ameibuka na kumfumua staa wa filamu ‘mbia’ wa mwanaye, Vincent Kigosi ‘Ray’, Risasi Jumamosi lina cha kushika.
Akizungumza na mapaparazi wetu katika mahojiano maalum nyumbani kwake, Ubungo External, Dar, wiki hii, mama Johari alifunguka kuwa hamjui wala hajawahi kumuona Ray ambaye ni mkurugenzi mwenza wa Johari. Ndiyo wamiliki wa kampuni ya kufyatua filamu ya RJ Productions.

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...