Wednesday, July 31, 2013

FID Q-CHAGUA MOJA!!


 Among my best songs of all the time!!

HATIMA YA MAKAMANDA WA CHADEMA KUFAHAMIKA AGOST 5


Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Kimataifa Kuhusu Demokrasia (IYDU), Aris Kalafatis (katikati) akizungumz na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema,John Heche na katibu wake Deogratius Munisi. Picha na Silvan Kiwale 


Tabora Uamuzi dhidi ya kesi inayowakabili wanachama watano wa Chadema yaliyokuwa yatolewe jana sasa yatatolewa Agosti 5. Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, Simon Lukelelwa alitoa uamuzi huo kufuatia kuchelewa kufika kwa washtakiwa wa kesi hiyo waliohifadhiwa Gereza la Uyui Tabora.

Wakati uamuzi huo ukitolewa na Jaji Lukelelwa, washtakiwa wote watano wa kesi hiyo, Henry John Kileo, Evodius Justian, Oscar Kaijage, Seif Kabuta na Rajab Kihawa hawakuwa katika chumba cha mahakama muda wa saa tatu na nusu asubuhi.

Washtakiwa walifikishwa mahakamani hapo majira ya saa nne na dakika arobaini na waliarifiwa na wakili mwakilishi, Emanuel Msyani kuwa shauri limepangwa tarehe tano mwezi ujao wakiwa ndani ya chumba cha mahabusu ya Mahakama Kuu.

Wakili Msyami alisema Mahakama Kuu iliridhia ombi la upande wa Jamhuri kuomba kuongezewa muda angalau kwa siku moja kwa vile walipokea hoja Ijumaa iliyopita.

Aliongeza kuwa Mahakama Kuu ilikubali ombi hilo na kuongeza muda hadi tarehe moja uwe umewasilisha majibu ya hoja na kuipanga tarehe tano kwa ajili ya uamuzi.

Kesi hiyo ya rufaa ya jinai namba 53/2012 ilifunguliwa na Wakili wa Utetezi, Peter Kibatala na kuanza kusikilizwa Julai 22 mwaka huu mbele ya Jaji Lukelelwa ikiomba miongozo ya kisheria ikiwemo yaliyotolewa na mahakama za wilaya na mkoa.

Shauri la maombi ya marejeo liliwakilishwa na Wakili Peter Kibatala anayewatetea washitakiwa, akiiomba mahakama kuu ipitie majalada ya kesi mbili dhidi ya wateja wake zilizofunguliwa mahakama hizo baada ya kuona maamuzi yake hayakutenda haki.

Wakili Kibatala alibainisha katika maombi hayo kwamba kutokana na maamuzi hayo ya mahakama za chini yameathiri pia haki za waomba rufaa ikiwa ni pamoja na kuwanyima haki ya kupata dhamana.

Kwa upande wake Serikali ilishindwa kujibu maombi hayo, badala yake ilijenga hoja kwamba walichelewa kupata nyaraka hizo kwani walizipokea siku moja kabla ya kutajwa shauri hilo hivyo walishinda kuzijibu.









WAZIRI MKUU WA THAILAND AKIWA TANZANIA.


AKIWA NA MWENYEJI WAKE MH,JAKAYA KIKWETE


WELCOME TO TZ







ATUPWA LUPANGO MIAKA 30 KWA KUZAA NA BINTI YAKE.


Mbeya. Mkazi wa Isanga jijini Mbeya, Yusufu Amani (39) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na Mahakama ya Wilaya ya Mbeya baada ya kupatikana na kosa la kumlawiti, kumpa mimba na kisha kumzalisha mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15 (jina tunalo).
Awali, Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa alidai kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa la kumbaka mtoto wake na kisha kumzalisha baada ya kutengana na mkewe.
Alidai mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo huku akijua ni kinyume cha sheria kifungu cha 154 (1)a na 155 Sura ya 16 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002, pamoja na kifungu cha 158(a) cha makosa ya kuzini.
Akisoma hukumu hakimu, Gilbert Ndeuro alisema mshtakiwa atafungwa jela miaka 30 baada ya kupatikana na hatia. Alisema anatoa adhabu hiyo baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi mahakamani hapo.

NENO KUTOKA KWA MBUNGE WA IRINGA MJINI ,MH PETER MSIGWA.


ANGALIA BAHATI YAKO MDAU WANGU,,NI WORD VISSION TENA WAMETANGAZA KAZI!!!

World Vision Tanzania is seeking to recruit a suitable candidates to fill the following positions:
Job Ref No: WVT/P&C/F13/55 

Job Title: Sponsorship and Program Facilitator (192 Positions)
Reports to: Project Coordinator
Locations: 
1. Eastern zone covering Tanga Region, Dar es salaam and Morogoro,
2. Central Zone covering Dodoma Region and Singida
3. Northern zone covering Kilimanjaro, Arusha and Manyara Regions
4. Lake Zone-covering Shinyanga,Tabora, Simuyu regions
5. Kagera Zone covering Kagera region
6. Kigoma- covering Kigoma region

Purpose of the position 
Effectively and efficiently facilitate Implementation of program development and sponsorship at the project level to ensure that communities are empowered for sustainable development and they contribute to child well being outcome as per World Vision standards 

Major Responsibilities: 
1. Implement and report on all planned activities within the Area Development Prgrom
2. Sensitize, Mobilize and facilitate Community engagement and advocacy within the project area
3. Sponsorship management
4. Monitor all Registered Children within the project area as per World Vision standards
5. Advocate for child Wellbeing and Child Protection
6. Facilitate networking relationships and participation with wide stakeholders such as government, church, faith based organization leaders and other key partners at local level such as NGOs, CBOs, IGA groups

Minimum Qualification required: Diploma in Social Science from accredited College/University in Agric. Economics., Sociology, Community Development, Psychology & related field.
· Preferred: Degree /Advanced Diploma in Agric. Economics, Sociology, Community Development, Psychology & related field.
· Experience: 1 - 2 years in programming

Knowledge, Skills and Abilities
· Report writing skills
· Networking and influencing skills.
· Highly reliable and dependable. 
· Passion for children.
· Programming skills 
· Ability to maintain effective working relationships with all levels of staff and donors
· Computer skills
· Community Facilitation skills

How to apply: 
Interested candidates who meet the above criteria should submit their applications letter (addressed to People and Culture Manager) together with an updated CV and copies of relevant credentials, contacts and three referees to wvt_jobs@wvi.org and copy toorestes_sotta@wvi.org before 11 August, 2013 
Please site the Region you are applying for as title of your application

PICHA ZANGU KWA LEO!!!

LOVE U TZ



MY BLOG COVER

WITH MY PEOPLE IN ISMILA STONAGE SITE


MUSIC NI SEHEMU YA MAISHA YANGU





IELEWE HIP HOP,,,,,

Vijana wengi sana tunapenda mziki wenye mahadhi ya kufokafoka,,yaani Hip hop,,lakini wengi wetu  hatujui historia ya mziki huo,,,leo kwenye sesction hii 'KUTOKA CHIMBO" tutajaribu kuangazia historia ya mziki huu unaopendwa na wengi..

CHEKI NA HII!!!!

ANGALIA MAJINA YA LIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU HAPA!!!!!

http://www.moe.go.tz/

Tuesday, July 30, 2013

habariMix intro!

mdau wa michezo,,mdau wa music na sanaa kwa ujumla,,mdau wa habari na matukio ya kisisasa,,,mdau  wa  habari za mazingira,,Hiki ndo kiota chetu,,hapa ndipo tunapoweza kupata habari zate hizo,,,,kaa mkao wa kula ,mafundi mitambo bado wanarekebisha mambo ,but very soon kila kitu kitakua tayari,,,,,

                         

huu no mwonekano wa juu wa blog yetu,,,,

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...