Thursday, February 20, 2014

BUNGE LA KATIBA LIMEJAA WAHUNI SIJAWAHI KUONA TANGU TUMEPATA UHURU; MCH MTIKILA.


Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.

Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.Huyo ni rev. Christopher Mtikila. 

Source: BBC swahili

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...