Sunday, February 2, 2014

AFANDE SELE AUNGANA NA OBAMA KWENYE SUALA LA BANGI.


Afande Sele ameungana na Rais wa Marekani Barack Obama katika kuunga mkono kauli yake ya kwamba bangi ni salama kuliko pombe kwa afya ya binadamu.

Akiongea na kipindi cha Milazo XP kinachorushwa na TBC fm, Afande Selle, mbali na kuunga mkono pia alizungumzia umuhimu wa bangi kama zao linaloweza pia kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi kama litatumiwa kwa usahihi.




No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...