Tuesday, August 6, 2013

UYU DIAMOND SASA BAAASI!! EBU CHEKI NA HII,,AKIWA SAOUTH AFRICA.

the hit maker wa kesho,mbagala,,ukimwona na nyingine nyingi, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.


akishoot video yake mpya.

mafundi wa kirekebihsa plate nomber ya wasafi.










No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...