Thursday, August 22, 2013

STAA WA TAMTHILIYA YA "PRISON BREAKER" AJITANGAZA KUWA NI SHOGA.

Kwa mujibu wa ripoti iliyoandikwa na mtandao wa the people.com,Wentwoth ameweka wazo  taarifa hiyo kwenye barua aliyo andika kukataa mwaliko kuhudhuria tamasha la filamu la kimataifa la st petersburg nhini urusi
Barua hiyo ilichapishwa kernye mtandao wa “gay lesbian alliance against defamation”

 Asante kwa mwaliko wenu kama mtu niliyefurahia kuitambelea urusi miaka ya nyuma na ambaye nina asili ya urui ,,ingenipa fursa kusema ndio,,aliandika hivyo ,,nikiwa kama shoga ni lazima niukatae.
Aliongeza,,ninakerwa kwa kiasi kikubwa  na jinsi mashoga wanavyotendewa na serikali  ya urusi,,hali ilivyo haikublaliki kwa  namna yoyote na siwezi kushirirki kwa amani tukio linloandaliwa na na nchi  ambako  watu kama mimi wanyimwa haki yao  ya msingi na kuishi na kupenda uwazi,pengine,pindi mambo yakibadilika ntalua  huru kuchukua uamuzi tofauti
Barua hiyo imetokana na sheria dhidi ya  ushoga iliyosainiwa  na rais vladmir putin wa urusi,urusi ilipitisha sheria  hiyo  mwezi uliopita inayozuia mijadala ya wazi kuhusu haki  na mahusiano ya jinsia moja popote pale ambapo   watoto wanaweza kuhusika.
Mwezi june ,nchi hiyo ilianzisha sheria inayokataza kuasiliwa kwa watoto wa urusi na wapenzi wa jinsia moja wanaoishi jkatika nchi inayokubal sera zxa mahusiano ya jisnsia moja,,lesbiani,gay,bisexual and transgendar
Wentwoth alijipatia umaarufu kwenye  tamthilia ya prison  break ya mwaka 2005 hadi 2009 .pia ameandika na kushiriki kutayarisha filamu ya mwaka iitwayo stoker,aliyoigiza Nicole kidman

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...