Mbunge wa mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi,,,Mr II, aka SUGU,anatarajia kuachia ngoma yake mpya itakayokwenda kwa jina la barua kwa Jakaya kikwete.
Kupitia ukurasa wake wa facebook Mh Sugu aneandika kuwa yuko kwenye maandalizi ya mwisho kuachia ngoma hiyo ambayo ni muendelezo wa ngoma nyingine baada ya ile iliyopita kuipa jina la waraka wa kwanza wa rais mkapa.
No comments:
Post a Comment