Friday, August 16, 2013

LADY JAY DEE KULA SAHANI MOJA NA MWANA FA,,NAE ANAACHIA VIDEO YA YAHAYA KESHO


baada ya Hasimu mkubwa wa Mwanadada Judith Wambura a.k.a lady jaydee,, MWANA FA kuachia video ya ngoma yake ya KAMA ZAMANI,,sasa kesho lady jay dee nae anategemea kuachia kichupa chake brand new single ya YAHAYA.Noma sana,,,watu maswali vichwani ,kuna uwezekani hawa watu wana biff lenye nia ya kuwaweka pazuri kibiashara,??au ni bifu la kiukweli ukweli,,,kazi kwako

muhimu ,,pitia kesho hapa hapa ucheki video hiyo mpya..

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...