Monday, August 26, 2013

WACHUNGAJI WAHUSISHWA NA UFREEMASON,,SOMA RIPOTI KAMILI HAPA.



HIZI habari zimekuwa ya kushtua sana kwangu japo mambo kama haya nilitegemea sana kuyaskia leo katika pitapita za mitandaoni nikaliona hii Habari ya wachungaji mafreemason, kwakweli inashtua sana na sasa wakristo na wafuasi wa madhehebu yote inabidi kuwa makini sana na hii hali tusije tukajikuta tunajutia maisha yetu baadae.


Biblia imeandika kuwa Watatokea man
abii wa uongo na wengi watakuja kwa jina langu, soma
 Waraka wa kwanza wa yohana 4:1, pia Mathayo 7:15-23 na pia Thesalonike 5:20-21... sasa hawa wengi ni wa taasisi ya Freemason na hawatendi kwa nguvu za Mungu alie hai wengi wanatumia nguvu za Giza nk.

Ndugu usikurupuke kukuta mtu anabwabwaja dini barabarani kwa mbwembwe kali akaponya lakini unahitaji sana kuhoji imani yake na haya yanawakuta sana waumini wa makanisa ya Kiroho.

Angalia wengi wa washiriki waliingia kanisa hilo kwakua tu kuna maombezi na kuna miujiza bila kutafakari hawa wachungaji wanafanya haya kwa shauri ya nani na kwa nguvu gani lakini na wanakurupuka watu wanadanganyika wanajazana katika makanisa bila kuchunguza na mara baada siku mbili tatu mara mchungaji kafumaniwa na muumini gesti, mara kampa mimba mke wa mtu nk.

Hii inatokana na watu hawa kutumia vipaji vyao vya kuhubiri kutafuta pesa kwa Sadaka za waumini nk.. angalia saana mijiza mingi inayo tendeka ni feki na hii inawapotosha wengi sana.
 -

No comments:

Post a Comment

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...